CLEAN COOKING ENERGY
Clean cooking energy remains a significant developmental and public health priority in Tanzania.The Government of Tanzania, through the Ministry of Energy, has developed the National Clean Cooking Strategy (2024 - 2034) to accelerate the adoption of...
MHE. NDEJEMBI ASISITIZA UTEKELEZAJI WA VIPAUMBELE VYA SERIKALI KUFIKIA 2030
Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amewaagiza Watumishi wa Wizara hiyo kufanya kazi kwa bidii ili kutimiza Vipaumbele vya Serikali katika Sekta ya Nishati ikiwemo kufikia Megawati 8000 ifikapo 2030.Mhe. Ndejembi ameyasema hayo tarehe 18 Novem...
MHA. LUOGA AZINDUA UTAFITI WA MATUMIZI YA NISHATI KATIKA KAYA, WA MWAKA 2023.
Kamishina wa Umeme na Nishati Jadidifu Mha. Innocent Luoga kutoka Wizara ya Nishati , amezindua Takwimu za Matumizi ya Nishati katika Kaya kwa mwaka 2023.Hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Taifa ya Takwimu leo tarehe 17 Novemba 2025 Jijini Dodoma....
MKAKATI WA TAIFA UMELENGA KUFIKIA 80% YA WATANZANIA KUTUMIA NISHATI SAFI IFIKAPO 2034
Imeelezwa Kuwa, Mkakati wa Mawasiliano wa Nishati Safi ya Kupikia ni Dira muhimu ya kufanikisha malengo ya Taifa ya kuhakikisha wananchi wanatumia nishati safi na salama, rafiki wa mazingira na yenye gharama nafuu hadi kufikia mwaka 2034 ambapo asili...
AGIZO LA MINADA YOTE NCHINI KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA LAANZA KUTEKELEZWA
Agizo la Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha kuwa minada yote nchini inakuwa na miundombinu itakayowawezesha Wachoma nyama, Mama Lishe na Baba Lishe kutumia nishati Safi ya Ku...
MKAKATI WA MAWASILIANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA: DIRA YA MAFANIKIO YA TAIFA – MHA. KABUNDUGURU
Imeelezwa kuwa, Mkakati wa Mawasiliano wa Nishati Safi ya Kupikia ni dira muhimu ya kufanikisha malengo ya Taifa ya kuhakikisha wananchi wanatumia nishati safi na salama, rafiki wa mazingira na yenye gharama nafuu hadi kufikia mwaka 2034.Hayo yameele...
ELIMU YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUOKOA MAISHA ZAIDI YA ELFU 33 KILA MWAKA NCHINI
Elimu ya matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia inayotolewa na Wizara ya Nishati kwa maafisa dawati na waratibu wa nishati safi ya kupikia katika halmashauri na mikoa yote nchini, inatarajiwa kuokoa vifo vya watu zaidi ya 33,000 kila mwaka vinavyotokana...
WIZARA YA NISHATI YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU YA NISHATI SAFI MIKOA YA NYANDA ZA JUU
Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Simon Parmet ameipongeza Wizara ya Nishati kwa kutoa elimu kwa Maafisa Dawati kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia, hatua ambayo itachochea kasi ya utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi...
DKT. MATARAGIO AAGIZA VIFAA VYOTE VYA UHAKIKI WA JOTOARDHI ZIWA NGOZI KUFIKA KWA WAKATI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Kampuni yake Tanzu ya Uendelezaji Jotoardhi (TGDC) kuhakikisha kuwa vifaa vyote vya uhakiki wa rasilimali Jotoardhi katika mradi wa Ziwa Ngo...
TANZANIA NA MISRI KUENDELEZA USHIRIKIANO KWENYE MIRADI YA UMEME -KAPINGA
TANZANIA NA MISRI KUENDELEZA USHIRIKIANO KWENYE MIRADI YA UMEME -KAPINGA Waziri wa Mambo Nje Misri atembelea Bwawa la Julius Nyerere Asifu hatua za Rais wa Tanzania na Misri kusimamia utekelezaji wa mradi Mradi wafikia asilimia 99.89...
test
test
DALILI ZA UWEPO WA GESI ASILIA KATIKA KITALU CHA LINDI-MTWARA
Utafiti unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa Gesi Asilia, hususani katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, ambapo visima vya maji vilibainika kuvujisha gesi asilia.Utafiti huo unajumuisha juml...
KATIBU MKUU NISHATI ARIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME JUA KISHAPU
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeeleza kuridhishwa kwake na kasi ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa kitaifa wa kuzalisha umeme jua (150MW) katika Wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga ambao hadi sasa umefikia asilimia 80.4 ya ujenzi.Baada ya kukagu...
TANZANIA YAZINDUA MRADI WA DUNIA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO NA DHARURA ZA KIAFYA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua Mradi wa Dunia wa kukabiliana na magonjwa ya Mlipuko nchini na kuzitaka wizara zote tawala za mikoa na serikali za mitaa pamoja na taasisi kutekeleza shughuli za kipaumbele katik...
TANZANIA KUZINDUA MAABARA ZA KISASA ZA KUPIMA MATUMIZI BORA YA NISHATI
Serikali kwa Kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), kupitia ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) watazindua Viwango Fanisi vya Chini vya Nishati (Minimum Energy Performance Standards – MEPS) na Maabara za Upimaji wa Ufanisi wa Ni...
KATIBU MKUU NISHATI AHIMIZA UZALENDO NA UADILIFU KWA WANACHAMA WA EWURA CCC
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba, ametoa wito kwa wajumbe wa Baraza jipya la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA Consumer Consultative Council – EWURA CCC) kuwa na nidhamu, uzalendo na uwajibikaji katika ma...
WIZARA YA NISHATI KIVUTIO MAONESHO WIKI YA CHAKULA TANGA
Ushiriki wa Wizara ya Nishati na taasisi zake (Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika Maonesho ya Wiki ya Chakula duniani yanayoendelea jijini Tanga umevutia wananchi wengi kutembelea banda la Wizara ili kupata...
WIZARA YA NISHATI YATUMIA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI KUTOA ELIMU YA NISHATI SAFI YA KUP...
Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake imeendelea kutumia njia mbalimbali kufikisha elimu ya Nishati Safi ya Kupikia kwa wananchi ambapo safari hii elimu hiyo inatolewa katika Maadhimisho ya Siku ya Chakula duniani yanayofanyika katika Viwanja vya...
UTAFITI MIAMBA BONDE LA EYASI WEMBERE WATHIBITISHA UWEZEKANO WA UPATIKANAJI MAFUTA
Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika bonde la ufa la Afrika Mashariki umeonesha matumaini makubwa ya kupatikana kwa Mafuta na Gesi katika bonde hilo.Hayo yamebainika wakati Naibu Kati...
MRADI WA KUZALISHA UMEME KUTUMIA JUA KATIKA KIJIJI CHA NGUNGA WILAYANI KISHAPU-SHINYANGA WAFIKIA 78....
Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa uzalishaji umeme unaotokana na jua katika Kijiji cha Ngunga, Kata ya Talaga, Wilayani Kishapu, Mkoani Shinyanga, baada ya kufikia asilimia 78.5 ya utekelezaji wa awamu ya kwanza.Mradi huu utazalisha Me...