MAKAMBA AKAGUA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI KATIKA MJI WA SERIKALI, DODOMA
MAKAMBA AKAGUA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI KATIKA MJI WA SERIKALI, DODOMAWaziri wa Nishati Mhe. January Makamba tarehe 01/03/2023, amekagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi za Wizara ya Nishati zilizopo katika mji wa Serikali Mtumba.Waziri...
NAIBU KATIBU MKUU MBUTTUKA AOMBA USHIRIKIANO KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE NISHATI
NAIBU KATIBU MKUU MBUTTUKA AOMBA USHIRIKIANO KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE NISHATI*Aahidi kutoa ushirikiano mzuri kwa uongozi na watumishi wa Wizara ya Nishati kuendeleza utendaji mzuri.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati ameomba kupatiwa ushirikiano m...
MAKAMBA AWATAKA WARATIBU WAPYA MIRADI YA UMEME VIJIJINI KUTOIANGUSHA SERIKALI
MAKAMBA AWATAKA WARATIBU WAPYA MIRADI YA UMEME VIJIJINI KUTOIANGUSHA SERIKALIWaziri wa Nishati, January Makamba amewaasa vijana walioajiriwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa nafasi ya Waratibu Miradi ya Umeme Vijijini kutekeleza majukumu yao k...
BODI YA WAKURUGENZI MRADI WA UMEME WA RUSUMO YAKAGUA MRADI
BODI YA WAKURUGENZI MRADI WA UMEME WA RUSUMO YAKAGUA MRADINA. RUBEN RICHARD- RUSUMO NGARA.Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi kutoka Tanzania wanaosimamia mradi wa kuzalisha umeme wa Maji wa Rusumo wamefanya ukaguzi wa kazi ya ujenzi wa Mradi huo ambao kw...
WADAU WA NISHATI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI MKUTANO NA MAONESHO YA PETROLI YA AFRIKA MASHARIKI
WADAU WA NISHATI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI MKUTANO NA MAONESHO YA PETROLI YA AFRIKA MASHARIKIWadau mbalimbali katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia nchini wamehamasishwa kushiriki katika Mkutano na Maonesho ya 10 Petroli yanayotarajiwa kufanyika nchini...
Watanzania 170 watakaohusika katika mradi wa Bomba la Mafuta wapata mafunzo
Watanzania 170 watakaohusika katika mradi wa Bomba la Mafuta wapata mafunzoWatanzania 170 watakaohusika katika ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima - Uganda hadi Chongoleani Tanga (EACOP), wamepatiwa mafunzo maalum yakayayowawezesha...
RAIS SAMIA ASHUHUDIA TUKIO LA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UMEME VIJIJINI NA UIMARISHAJI GRIDI
RAIS SAMIA ASHUHUDIA TUKIO LA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UMEME VIJIJINI NA UIMARISHAJI GRIDIVeronica Simba, Zuena Msuya na Issa Sabuni – Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia tukio kubwa la kihistori...
Mradi wa Bomba la Mafuta unaendelea kutekelezwa-BYABATO
Mradi wa Bomba la Mafuta unaendelea kutekelezwa-BYABATONaibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema kuwa, utekelezaji wa mradi Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania (EACOP) unaendelea kutekelezwa na kwamba shughuli mbalimbali z...
Watumishi watakiwa kufahamu maendeleo ya michango yao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii
Watumishi watakiwa kufahamu maendeleo ya michango yao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya JamiiWatumishi wa Wizara ya Nishati wametakiwa kujenga utamaduni wa kufahamu maendeleo ya michango wanayochanga katika Mifuko wa Hifadhi ya Jamii ili kuondoa changamoto...
Nguzo za Mita 13 zinapatikana nchini wakandarasi zitumieni katika miradi ya kusambaza Umeme
Nguzo za Mita 13 zinapatikana nchini wakandarasi zitumieni katika miradi ya kusambaza UmemeKamati ya kuishauri Serikali namna ya upatikanaji wa Nguzo bora za Umeme za Miti, imesema kuwa nguzo za miti za umeme zenye ukubwa wa mita 13 zinapatikana nchi...
BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA 16 WA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA EAPP
BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA 16 WA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA EAPPNaibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki Mkutano wa 16 wa Mawaziri wanaohusika na Umeme kutoka nchi za Mashariki mwa Afrika ambazo zimeunganisha mifumo ya kusafiris...
Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia (CookFund) wakabidhi ruzuku ya Shilingi bilioni 3.21 kwa wasambaza...
Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia (CookFund) wakabidhi ruzuku ya Shilingi bilioni 3.21 kwa wasambazaji wa gesi ya mitungi Lengo ni kuchochea upatikanaji wa nishati safi ya kupikia nchini Tanzania. Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia (CookFund) Tanzania u...
MILANGO YA UWEKEZAJI NISHATI IPO WAZI- MAKAMBA
MILANGO YA UWEKEZAJI NISHATI IPO WAZI- MAKAMBAWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amesema Tanzania imeweka milango wazi kwenye uwekezaji wa Sekta ya Nishati kutokana na uwepo wa mahitaji makubwa ya nishati nchini.Waziri Makamba ameyasema hayo mkoa...
SERIKALI KUBADILI UTARATIBU WA KUTOA KAZI KWA WAKANDARASI WA MIRADI YA UMEME VIJIJINI
SERIKALI KUBADILI UTARATIBU WA KUTOA KAZI KWA WAKANDARASI WA MIRADI YA UMEME VIJIJINIVeronica Simba – Dar es SalaamWaziri wa Nishati, Mheshimiwa Januari Makamba amesema Serikali iko katika mchakato wa kubadilisha utaratibu mzima wa kutoa kazi kwa Wak...
MAKATIBU WAKUU WASTAAFU WAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE
MAKATIBU WAKUU WASTAAFU WAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYEREREKatibu Mkuu Kiongozi, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Baraza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mha. Zena Ahmed Said amepongeza Wizara ya Nishati kwa kuwa...
Uzalishaji wa Umeme na Gesi Asilia waongezeka
Uzalishaji wa Umeme na Gesi Asilia waongezekaImeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifaumeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 mwezi Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na...
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MAGHALA YA KUHIFADHI MAFUTA-MAKAMBA
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MAGHALA YA KUHIFADHI MAFUTA-MAKAMBANa.Godfrey Mwemezi-DodomaWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amesema kuwa serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kupata wawekezaji watakaojenga Ghala kuu la kupokelea mafuta kw...
Tanzania na Kenya zajadili ushirikiano Sekta ya Umeme na Gesi
Tanzania na Kenya zajadili ushirikiano Sekta ya Umeme na GesiWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe.Isaac Njenga wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika Sekta ya U...
MIUNDOMBINU YA UMEME NCHINI IMEIMARIKA
MIUNDOMBINU YA UMEME NCHINI IMEIMARIKAWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amesema kuwa hali ya miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme nchini imeendelea kuimarika na kuwezesha upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa wateja.Makamba ameyasema hayo...
MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE WAFIKIA ASILIMIA 80.2
MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE WAFIKIA ASILIMIA 80.2Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 2,115umefikia asilimia 80.2.Naibu Wa...