RAIS SAMIA AFUNGA NJIA YA KUCHEPUSHA MAJI NA KUANZA UJAZAJI WA MAJI BWAWA LA JNHPP
RAIS SAMIA AFUNGA NJIA YA KUCHEPUSHA MAJI NA KUANZA UJAZAJI WA MAJI BWAWA LA JNHPPALIYOSEMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN#Hili ni tukio muhimu la kihistoria na faraja nchini kwetu katika safari ya kukamilisha...
VIJIJI VYOTE NCHINI KUFIKIWA NA UMEME KABLA YA MWAKA 2025
VIJIJI VYOTE NCHINI KUFIKIWA NA UMEME KABLA YA MWAKA 2025Kauli hiyo imetolewa tarehe 19 Desemba, 2022 na Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipokuwa akizungumza na Wakandarasi katika hafla ya...
Rais Samia kushuhudia ujazaji maji Bwawa Umeme la Julius Nyerere
Rais Samia kushuhudia ujazaji maji Bwawa Umeme la Julius NyerereWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amewaeleza watanzania kuwa, zoezi la kuanza kujaza maji katika Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) litaanza tarehe 22 Desemba 2022 na ku...
TANZANIA, ZAMBIA WAKUTANA KUJADILI USALAMA BOMBA LA MAFUTA
TANZANIA, ZAMBIA WAKUTANA KUJADILI USALAMA BOMBA LA MAFUTAWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, ameongoza ujumbe wa Mawaziri wa Tanzania wakiwemo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Waziri wa Tawala za Mi...
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Equinor akutana na Waziri Makamba.
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Equinor akutana na Waziri Makamba.Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba tarehe 8 Disemba, 2022 amekutana na kufanya kikao na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Equinor ya Norway, Bi. Nina Ko...
UCHIMBAJI GESI KITALU CHA RUVUMA UKAMILIKE KWA WAKATI-MAKAMBA
UCHIMBAJI GESI KITALU CHA RUVUMA UKAMILIKE KWA WAKATI-MAKAMBAWaziri wa Nishati Mhe. January Makamba, ameliagiza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), kuhakikisha mradi wa uchimb...
MAENEO YENYE UZALISHAJI YAPEWE KIPAUMBELE CHA UMEME-BYABATO
MAENEO YENYE UZALISHAJI YAPEWE KIPAUMBELE CHA UMEME-BYABATO Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuyapatia kipaumbele cha umeme maeneo yenye shughuli za uzalishaji ili kutoathiri shughuli zao....
ULETAJI WA MAFUTA KWA PAMOJA UNA TIJA-PAC
ULETAJI WA MAFUTA KWA PAMOJA UNA TIJA-PACKamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeeleza kuwa, kazi ya uletaji wa mafuta kwa pamoja nchini inayosimamiwa na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) ina tija kwa Taifa kutokana na s...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yapata elimu ya Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yapata elimu ya Uagizaji wa Mafuta kwa PamojaNa Ruben Richard Wajumbe wa Kamati Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wamepata elimu kuhusu shughuli za Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja zinazosimamiwa na Wakala...
BYABATO AWATAKA WANANCHI MBARALI KUTOINGIZA MIFUGO KWENYE VYANZO VYA MAJI
BYABATO AWATAKA WANANCHI MBARALI KUTOINGIZA MIFUGO KWENYE VYANZO VYA MAJINaibu waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amewataka wananchi wa Kata ya Ubaruku Mbarali mkoani Mbeya kutoingiza mifugo kwenye vyanzo vya maji badala yake wavitunze ili vis...
TANZANIA MWENYEJI KONGAMANO LA 10 LA JOTOARDHI MWAKA 2024
TANZANIA MWENYEJI KONGAMANO LA 10 LA JOTOARDHI MWAKA 2024Tanzania itakuwa mwenyeji wa Kongamano la 10 la Jotoardhi la Nchi za Ukanda wa Mashariki ya Afrika (African Rift Geothermal Conference - ARGeo) litakakofanyika Mwaka 2024.Hayo yameelezwa katika...
WIZARA YA NISHATI YAANZA KUTEKELEZA MAAGIZO YA RAIS
WIZARA YA NISHATI YAANZA KUTEKELEZA MAAGIZO YA RAISNa Timotheo Mathayo, Dar es salaamWaziri wa Nishati, January Makamba alisema kuwa wizara yake imeanza utekelezaji wa agizo la Rais alilotaka taasisi zote za umma na binafsi zenye watu zaidi ya 300 ku...
SERIKALI KUUNDA KIKUNDI KAZI KUHUSU NISHATI YA KUPIKIA.
SERIKALI KUUNDA KIKUNDI KAZI KUHUSU NISHATI YA KUPIKIA.Na Timotheo Mathayo, Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Nishati kuunda kikudi kazi kwa ajili ya kupitia na kuchakata Sera zilizop...
RAIS ATOA MWAKA MMOJA KWA TAASISI KUPIKIA NISHATI SAFI
RAIS ATOA MWAKA MMOJA KWA TAASISI KUPIKIA NISHATI SAFINa Timotheo Mathayo, Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza Taasisi na Idara za umma na binafsi zenye watu wasiopungua 300 kutumia nishati safi ku...
BYABATO AWATAKA WANANCHI MBARALI KUTOINGIZA MIFUGO KWENYE VYANZO VYA MAJI
BYABATO AWATAKA WANANCHI MBARALI KUTOINGIZA MIFUGO KWENYE VYANZO VYA MAJINaibu waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amewataka wananchi wa Kata ya Ubaruku Mbarali mkoani Mbeya kutoingiza mifugo kwenye vyanzo vya maji badala yake wavitunze ili vis...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASHA UMEME WA GRIDI KASULU, KIGOMA
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASHA UMEME WA GRIDI KASULU, KIGOMARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu tarehe 17 Oktoba, 2022 kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi, amewasha umeme wa Gridi ya Taifa katika Wilaya ya Kasulu mkoani...
Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia; JISAJILI SASA
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022.Ili kushiriki kwenye mjadala huo unatakiwa kujisajili kup...
Mjadala wa Kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia.. JISAJILI SASA
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022.Ili kushiriki kwenye mjadala huo unatakiwa kujisajili kup...
MANYANYA: TUMERIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA JNHPP.
MANYANYA: TUMERIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA JNHPP. Kamati ya kudumu ya Nishati na Madini imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi Mkubwa wa Kuzalisha Umeme wa Julius Nyerere Hydropower Project ambao unatekelezwa na Serikali kwa lengo la k...
VIJIJI 353 VINA UMEME GEITA
VIJIJI 353 VINA UMEME GEITASerikali imeahidi kuendelea kuimarisha huduma za upatikanaji wa umeme Vijijini ili kuwawezesha Wananchi waishio katika maeneo hayo kuwa na nishati ya uhakika itokanayo na umeme.Waziri wa Nishati, January Makamba ametoa ahad...