Kamati ya Kudumu Bunge ya Nishati na Madini yakagua eneo la mradi wa LNG
Kamati ya Kudumu Bunge ya Nishati na Madini yakagua eneo la mradi wa LNGWajumbewa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wamekagua eneo la Likong’o mkoani Lindi ambapo kutatekelezwa mradi mkubwa wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (LNG) iki...
Kamati ya Bunge yapongeza wazawa kuendesha mitambo ya gesi nchini
Kamati ya Bunge yapongeza wazawa kuendesha mitambo ya gesi nchiniKamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa kuwezesha vijana wa kitanzania kusimamia na kuendesha mit...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZAWAKALA WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA KWA KAZI NZURI
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZAWAKALA WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA KWA KAZI NZURIKamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, leo tarehe 11 Octoba, 2022, imefanya ziara ya kukagua Miundombinu ya Kupokea na Kuhifadhi Mafuta kwenye Bandari ya Mtwara na ku...
Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia. JISAJILI SASA
Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022.Ili kushiriki kwenye mjadala huo unatakiwa kujisajili kup...
WAKILI BYABATO ASHIRIKI WIKI YA MAFUTA AFRIKA NA KONGAMANO LA NISHATI RAFIKI NCHINI AFRIKA YA KUSIN...
WAKILI BYABATO ASHIRIKI WIKI YA MAFUTA AFRIKA NA KONGAMANO LA NISHATI RAFIKI NCHINI AFRIKA YA KUSINI*Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki katika Wiki ya Mafuta Afrika (Africa Oil Week) na Kongamano la Nishati Rafiki (Green Energ...
BYABATO AHUDHURIA MKUTANO WA NGAZI YA JUU WA JOTOARDHI NCHINI EL SALVADOR
BYABATO AHUDHURIA MKUTANO WA NGAZI YA JUU WA JOTOARDHI NCHINI EL SALVADOR*Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amedhuria Mkutano wa Pili wa Ngazi ya Juu wa Jotoardhi _(2nd High Level Conference of the Global Geothermal Alliance), uliofanyi...
Waziri Makamba ashiriki warsha ya mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia nchini Norway
Waziri Makamba ashiriki warsha ya mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia nchini NorwayWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, pamoja na Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic, Mhe. Grace Olotu na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Elisabe...
Serikali inaendelea na ujenzi wa Bomba la Mafuta-Majaliwa
Serikali inaendelea na ujenzi wa Bomba la Mafuta-MajaliwaWaziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inasimamia kikamilifu sekta ya nishati ikiwemo kuendelea kutekeleza mradi...
SERIKALI YAAHIDI KUJENGA VITUO 15 VYA KUPOZA UMEME.
SERIKALI YAAHIDI KUJENGA VITUO 15 VYA KUPOZA UMEME.Na Godfrey Mwemezi, Dodoma.Serikali inaendelea na mchakato wa kujenga vituo vya kupoza umeme katika maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika.Vituo 15 vya kupoz...
MITAA ISIYO NA UMEME HANDENI KUPATA HUDUMA HIYO IFIKAPO DESEMBA 2022
MITAA ISIYO NA UMEME HANDENI KUPATA HUDUMA HIYO IFIKAPO DESEMBA 2022Imeelezwa kuwa, Mitaa 28 ambayo bado haina umeme katika Jimbo la Handeni mjini ipo katika mpango wa kupatiwa umeme kupitia mradi wa umeme vijijini Awamu ya Tatu mzunguko wa Pili unao...
SERIKALI YAAHIDI KUANZA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA RUMAKALI.
SERIKALI YAAHIDI KUANZA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA RUMAKALI.Na Timotheo Mathayo, Dodoma.Serikali imeahidi kuanza ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa Rumakali katika wilaya ya Makete mkoani Njombe utakaozalisha Megawati 222 baada ya kukamilika.Mrad...
GOVERNMENT STATEMENT AGAINST EUROPEAN UNION PARLIAMENT RESOLUTION ON EACOP PROJECT.
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA...
WAZIRI MAKAMBA AZINDUA KIWANDA CHA TRANSFOMA
WAZIRI MAKAMBA AZINDUA KIWANDA CHA TRANSFOMAWaziri wa Nishati, January Makamba, Septemba 12, 2022 amezindua kiwanda cha kuzalisha transfoma ikiwa ni awamu ya pili ya kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme cha Elsewedy Electrica Industrial Complex kili...
Serikali kujenga Vituo vya Kupoza Umeme Katika Wilaya Zenye Uhitaji
Serikali kujenga Vituo vya Kupoza Umeme Katika Wilaya Zenye UhitajiSerikali imeendelea na mkakati wa kutekeleza Miradi ya kuimarisha huduma za upatikanaji wa umeme katika wilaya mbalimbali nchini Tanzania.Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nisha...
SERIKALI KUANZISHA OFISI MAALUM YA MRADI WA LNG. MAZUNGUMZO KUKAMILIKA DISEMBA - WAZIRI MAKAMBA.*
SERIKALI KUANZISHA OFISI MAALUM YA MRADI WA LNG. MAZUNGUMZO KUKAMILIKA DISEMBA - WAZIRI MAKAMBA.*Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi za Kampuni ya Shell, nchini Uholanzi, na kukutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa kampuni hiyo k...
*WAZIRI MAKAMBA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIANC...
*WAZIRI MAKAMBA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA AFRIKA *Mhe. January Y. Makamba, Waziri wa Nishati amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwenye Mkutan...
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE.
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE.Na Mwandishi WetuWaziri wa Nishati Mhe. January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa nchi za Uingereza na Singapore kwa nyakati tofauti kuhusu ushirikiano baina ya nchi hizo...
WAZIRI MAKAMBA MWENYEKITI MPYA MRADI WA UMEME WA RUSUMO
WAZIRI MAKAMBA MWENYEKITI MPYA MRADI WA UMEME WA RUSUMONa Dorina Makaya - Rusumo, Kagera.Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, tarehe 20 Agosti, 2022, amekabidhiwa Uwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Mradi wa Umeme wa Rusumo utakaozalisha umeme kw...
TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA NISHATI
TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA NISHATIWaziri wa Nishati, Mhe..January Makamba amekutana na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe.Saud Hilal Al Shidhani na kuzungumzia fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo katika sekta ya mafuta na gesi h...
MAKABIDHIANO YA DATA ZA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA KWA VITALU VYA ZANZIBAR
MAKABIDHIANO YA DATA ZA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA KWA VITALU VYA ZANZIBARMheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, tarehe 10/8/2022 ameshuhudia makabidhiano ya data za utafutaji wa mafuta na ge...